Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Yeah. Hakuna haja ya kuwa hata na Kesho Wala TISSKuna mgogo amesutwa hadi akaacha kazi..teh😂
Unasutwa mpaka unajiuzulu??Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana!
Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaikimbia familia Yako.
Hongera sana
Halafu unasingizia eti Wazaramo wanajua kusuta!!! Hawajawahi kusutwa hawaUnasutwa mpaka unajiuzulu??
Unasutwa Hadi unakosa "nguvu" kabisa! Sukari inapanda! BP inapanda na kushika, vichomiWanawake ndivyo walivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake ndivyo walivyo...
DahSehemu ambayo utakayomwona MZARAMO Hazungumzi ni kwenye picha tu.
Watu mna maneno haki 🤣Sehemu ambayo utakayomwona MZARAMO Hazungumzi ni kwenye picha tu.
Kaone kwanza kalivyo kazuri...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kusimangaNikajua kutafuta hela duuuuu
Hio Cha mtoto, Mpemba kamsuta mgogo Hadi kajiuzuluMzaramo alimsuta kunguru hadi akakitema kipande cha samaki.