Kwa hili, Wazaramo watasubiri sana

Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana!

Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaikimbia familia Yako.

Hongera sana
Pole mkuu waifu kakuchambua nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…