Hakika ndivyo mlivyo...Tuombe radhi aisee😀
Unakazia Tena [emoji16]Hakika ndivyo mlivyo...
UnawashwaKitulize bas
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nilikuwa naitafuta comment yako😂😂😂😂
Na huo ndio uzaramo sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unawashwa
Umesutwa? Au umesimangwa?Na huo ndio uzaramo sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si ndo kama hivi wazaramo tunasimangwa wakati kufukuzana wamefukuzana mpemba na mgogo lkn hapa naona tunatajwa sie tuUshawahi kusimangwa?
🤣🤣🤣🤣Ushawahi kusimangwa?
Ila hao wamejaa ubaguzi ila mchele mchele tuKuliko Mpemba??
Nimerudi zangu Kongwa🤣🤣🤣🤣
Mkuu pole kwa yaliyo kukuta