Kwa Hili WCB mmechemsha


Otherwise uwe hu ujui Muziki. nilitamani sana nikukumbushe enzi za Crew ya Junior Mafia ile crew iliyokuwa ikiongozwa na Rais Notorious B.I.G huku humo ndani kukiwa na wakali kibao km Puff Daddy a.k.a P Diddy, Lil Kim a.k.a Queen B, na Rap Master Lil Sizz.


lkn kwa kuwa umeonesha huujui ngoja nikukumbushe kuhusu Crew ya YMCB Chini ya lebo ya Young Money na Producer Young Muller wakiwa Chini ya Rais Birdman.

hii crew ilikua na Wanyama wakali km Vile Lil Wayne, Nicki Minaj , Drek, Birdman na Tyga.

hawa wote walikua wanaachia ngoma zao ndani ya mwezi mmoja na kila baada ya miez miwili wanaachia ngoma ya Kundi yaani YMCB.



Sasa kinachotokea kwa WCB leo sio kitu kipya. ni msingi tu wa kujiimarisha ktk Soko la ndani. na kutumia nguvu ya video zao kujiimarisha ktk soko la nje.

In case ulikua hujui. Soko la ndani linahitaji Cooperative Power ku Push kazi ya sanaa kuwafikia watu wengi. kwa hili WCB wako mbali sana.
 
Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
Unapania chuki kweli wewe ni wa hovyo haswa.
 
Sasa hao wte ni wezi tu kama yeye
 
Bado me naona WCB bado wako katika njia sahihi maana kuna vichwa zaidi ya vitatu katika manegment yao hivyo basi kusema wamechemka hiyo itakua ni Uongo. Kuna tofauti kubwa mno kati ya MATATIZO na KIDOGO, mtu akitaka faraja atasikiliza MATATIZO na mtu akitaka kuruka ruka atasikiliza KIDOGO. Haijalishi ni kwa namna gani ngoma hizi mbili kutoka WCB zina ukubwa gani ila tunachokiangalia hapa ni Ujumbe wenye thamani katika ngoma hizo. Jambo hili liko hata katika LABEL kubwa tuu hapa Africa mafano MAVIN inayosimamiwa na Don Jazz, utakuta Korede Bello ana hit na at the same time Dija ama Tiwa nao wana Hit ila kwa wakati mmoja kila mtu anapata air time. Unaposema bado ngoma hii ya MATATIZO bado haijapoa una maana kwamba ngoma hii iko siku itachuja? mmh silioni hilo maana kilichoko ndan ya ngoma hiyo ni kitu kikubwa mno.
Haya mambo bhana yana wenyewe na kila kitu kiko on fleek.
One love!
 
Pigeni kmya km huwez kuimba ckiliza play list hpo clouds tv azam TV uta enjoy maana zote zitapigwa
 
Kabla hamjapumua inashuka kolabo ya Raynavy na Simbaaa!
 
Mbona kama ushapanic tayari?
Kwani vepeee?
Sijawahi na sitarajii na sijamuona wakunipanikisha mimi humu ndani na ndio maana mimi ndio huwa najibu kejeri,matusi na shombo zote zinazomuhusu DIAMOND PLATNUMZ na sitoacha.
 
Kipindi hiki si kizuri kutoa wimbo basi tu ubishi wake. .mtaani kuna aje ya king kiba na kuna hainaga ushemeji ya man fongo unaanzaje kutoa wimbo. .Diamond mjanja ndo maana hajatoa wimbo mpaka sasa kaamua kutoa video clip ya sarakasi aliofanya na p square ambapo yeye diamond kaenda kama moses iyobo wa p square
 
Haha ushabiki mwingine bwana
 
Akili yako imeganda hivi unadhani diamond anatoa nyimbo kwa ajili ya soko la tanzania pekee? Pole sana
 
Sign Up Now

Your love makes me strong, Your hate makes me unstoppable".

Cristiano Ronaldo
 
mimi wimbo wa matatizo cjauelewa kabisa
hili dude la platinumz ni noma yani...
dance la kunimalizaga.....
kama mtu anataka nyimbo za mafunzo twenty% anazo ny ingi tu
anaetaka za kubembelezwa maua sama anazo

anaetaka midude ya next level kwa mond nyote mnakaribishwa
 
Sijawahi na sitarajii na sijamuona wakunipanikisha mimi humu ndani na ndio maana mimi ndio huwa najibu kejeri,matusi na shombo zote zinazomuhusu DIAMOND PLATNUMZ na sitoacha.
Unalipwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…