kasikilize lupela na am addicted then urud..Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasikilize lupela na am addicted then urud..Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.Hapana wangu unaruhusiwa kuunena moyo wako, japo zamani kabla ya uchaguzi ulikuwa unamsifia mwanzo mwisho, anyway masalimie Nifah mwambie nimemmiss [emoji85]
Huyo anaangaika hiko kibwagizo cha dance , fiesta, forever kimetumiwa na wasanii kibao sio leonel richie peke yake hata wimbo wa henrique iglesias ft pitball unaitwa i like it , wametumia hiko kipanda, pia wimbo wa dbanj unaitwa bother you wametumiaAlafu mbona hamsemi NAGHARAMIA ni copy n paste ya SAME GIRL ya usher na Rkelly??? Mbona hili hamlisemagi? Copy n paste sio dhambi cha msingi ucopy in a way itawapendeza watazamaji, ishitoshe hakuna kimpya chini ya jua in masanja mkandamizaji voice
Hahahahahaaaaaa! Kama nakuona ulivyojipanga kumchambua simba, mpaka awe mdogo kama paka. Karibu here the flow!Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
Aje washkaji zangu wa nguvu!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji.
Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha
Huyu Domo ni dancer kama Msami tu, kwenye kuimba tunamuonea tu.
Kwanza Harmo kaachiwa nafasi na yeye nyimbo yake ndio anaifanyia MEDIA TOUR na DIAMOND PLATNUMZ wimbo wake haufanyii MEDIA TOUR tayari wamepeana muda na vile vile kuanzia sasa hadi mwezi wa 10 DIAMOND PLATNUMZ atakuwa bize sana ndio maana kaamua kuitoa sasa ili apate nafasi ya kufanya kazi. Wimbo wa DIAMOND PLATNUMZ ndani ya masaa 18 imeshatazamwa na watu 300,000+ hakuna msanii wa Bongo aliyefikia rekodi hiyo.
Kajipange ipya kijana iko kibwagizo cha dance, fiesta , forever sio lionel richie peke yake ametumia nenda kacheki henrique iglesias ft pitbul inaitwa i like it wamekitumia , nenda tena kacheki nyimbo ya dbanj bother you nae katumia hicho .Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Usipanie ugomvi pania maendeleo. Habari za masiku dada mpendwa.Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
......nzuri mpendwa.Usipanie ugomvi pania maendeleo. Habari za masiku dada mpendwa.
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] kumbe hata [emoji208] ni copy n paste?? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] ILA all is all NAUPENDA JAMANI, SIJAWAHI HATA SIKILIZA ANAIMBA KUHUSU NINI LAKINI ZILE DANSING MOVES za wale wadada kills me aiseee! Shkamooni wadada wa Lupe wamekaa kibeyonce beyonce yaani!kasikilize lupela na am addicted then urud....pumbavu
Kwa kukuongezea tu ni kwamba imevunja rekodi ya nyimbo yake mwenyewe, na wakati huo huo HAJAIFANYIA MEDIA TOUR.Waliotazama wote ni wale wambea wambea ujinga mtupu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Heheheh hainaga shidaaaaa we ni wangu