Kwa Hili WCB mmechemsha

Kwa Hili WCB mmechemsha

Hapana wangu unaruhusiwa kuunena moyo wako, japo zamani kabla ya uchaguzi ulikuwa unamsifia mwanzo mwisho, anyway masalimie Nifah mwambie nimemmiss [emoji85]
Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
 
Alafu mbona hamsemi NAGHARAMIA ni copy n paste ya SAME GIRL ya usher na Rkelly??? Mbona hili hamlisemagi? Copy n paste sio dhambi cha msingi ucopy in a way itawapendeza watazamaji, ishitoshe hakuna kimpya chini ya jua in masanja mkandamizaji voice
Huyo anaangaika hiko kibwagizo cha dance , fiesta, forever kimetumiwa na wasanii kibao sio leonel richie peke yake hata wimbo wa henrique iglesias ft pitball unaitwa i like it , wametumia hiko kipanda, pia wimbo wa dbanj unaitwa bother you wametumia
Wasiojua mziki wamekosa hoja wanasingizia copy n' paste wakati ni ishu ya kawaida diamond kawashika pabaya
 
Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
Hahahahahaaaaaa! Kama nakuona ulivyojipanga kumchambua simba, mpaka awe mdogo kama paka. Karibu here the flow!
 
Aje washkaji zangu wa nguvu!?

Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.

Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji.

Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.

Nawasilisha



Utumbo mtupu wcb ndo kitu gani??
 
Kwanza Harmo kaachiwa nafasi na yeye nyimbo yake ndio anaifanyia MEDIA TOUR na DIAMOND PLATNUMZ wimbo wake haufanyii MEDIA TOUR tayari wamepeana muda na vile vile kuanzia sasa hadi mwezi wa 10 DIAMOND PLATNUMZ atakuwa bize sana ndio maana kaamua kuitoa sasa ili apate nafasi ya kufanya kazi. Wimbo wa DIAMOND PLATNUMZ ndani ya masaa 18 imeshatazamwa na watu 300,000+ hakuna msanii wa Bongo aliyefikia rekodi hiyo.


Waliotazama wote ni wale wambea wambea ujinga mtupu
 
Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Kajipange ipya kijana iko kibwagizo cha dance, fiesta , forever sio lionel richie peke yake ametumia nenda kacheki henrique iglesias ft pitbul inaitwa i like it wamekitumia , nenda tena kacheki nyimbo ya dbanj bother you nae katumia hicho .
Acha kukariri jifunze mziki kijana
 
kasikilize lupela na am addicted then urud....pumbavu
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] kumbe hata [emoji208] ni copy n paste?? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] ILA all is all NAUPENDA JAMANI, SIJAWAHI HATA SIKILIZA ANAIMBA KUHUSU NINI LAKINI ZILE DANSING MOVES za wale wadada kills me aiseee! Shkamooni wadada wa Lupe wamekaa kibeyonce beyonce yaani!
 
hiyo video ya harmonize ni mbovu haina kiwango cha kupigwa trace wala sound city , video ya mondi ni internationally
 
Waliotazama wote ni wale wambea wambea ujinga mtupu
Kwa kukuongezea tu ni kwamba imevunja rekodi ya nyimbo yake mwenyewe, na wakati huo huo HAJAIFANYIA MEDIA TOUR.
 
et wcb kuruhusu,yy mwenyew ndo rais wa wcb na yy mwenyew ndo kaamua kuachia

tuachane na hayo
saf sana kijana umeona mbali lakin una upeo mdg katika biashara ya mzik
madai yako wimbo wa matatzo hautapata airtime et,na msanii mwingne yeyote akitoa ngoma either kesho au kesho kutwa huu wa mond pia utapoa
kizur kinaonekana
wcb n label na hamo na chib n wasanii kama wasanii wengne
 
Na wewe naye kama unauwezo wa kusikiliza nyimbo moja tu bila kufatiwa na ingine si unyamaze tu.... Mada yako ni pumab
 
Back
Top Bottom