Kwa hili Yanga tunajitafutia Matatizo tu


Tuwape muda ndugu hawa january tunapiga bakora.
 
idiot!!!
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi mmesikitika sana.

kamuajiri amfundishe mkeo
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana


Hawa watu ni wasengelema ,walikuwa wanampenda eti ni mfanyabiashara,eti siyo kocha mara sijui nini ,leo hii wanamtetea.Halafu kwanini wasihangaike yao ya Yanga waachie Yanga wenyewe?
 
Mashabiki wa mbumbu walikuwa wanqmponda Mwinyi lakini sahizi wanajifanya kumsifia
 
Viingozi wa Yanga wamekurupuka sana kumfukuza kocha, na hii dhambi haitawaacha salama, ndani ya Yanga kuna matatizo zaidi ya Zahera.
 
Mi nilipendekeza wangemuachisha kazi kwa makubaliano tu yaani kwa kuafikiana nae na sio kumfukuza kama mhaini
fulani.
Wangezungumza naye Kama walivyofanya Simba SC kwa Masudi Juma.
Kitendo cha kumtupia vilago sio cha kiungwana.
Lakini nasikia ndio Yanga walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…