Kwa hili Yusuph Manji atatisha

Kwa hili Yusuph Manji atatisha

Hela yake umpangie wewe. Hilo ni jukumu la Serikali yako ya kipumbavu

Wewe unaropoka tu lakini wanayanga wenyewe wanaumia kweli.walitegemea eti sababu mwenyekiti tajiri basi mambo pale jangwani yatakuwa kama ninini complex kumbe hamna lolote
 
Kanjibai kuweka Nyasi za bandia hadi leo Danadana unategemea akujengee Uwanja
 
Hela yake umpangie wewe. Hilo ni jukumu la Serikali yako ya kipumbavu

Hilo ni swala la busara sio kupangiana, tumia akili ya kuzaliwa, wewe unaweza kuacha ndugu zako wanakufa njaa ukasaidie kwa jirani? ndio akili hiyo!?
 
Back
Top Bottom