Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku anakupa points za kujitathmini na kujicrriticize ili ujione una mapepo na haukko katika mikono ya Mungu kikamilifu