Kwa hisani ya watu wa Marekani

Kwa hisani ya watu wa Marekani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Kumbe wamarekani wanayajua mapenzi kuliko sisi. Kumbe tena wako wazi kuliko sisi. Wako wazi kiasi cha kuwa na ndoa za mikataba. Wako wazi kiasi cha kuruhusu mahusiano ya jinsia moja! Kumbe wanaona mapenzi yetu yamejaa ububu. Kwamba mke/mume nizungumze nae na ikishindikana tuvunje mkataba. Kumbe watanzania wanaogopana kupashana ukweli kuhusu uwazi katika mahusiano, na ndio maana ukimwi hauishi. Kumbe wamarekani wanatupenda hivi? Wito wangu kwenu. Utakapoanza kutaka kuvunja ukimya na mwenza wako uanze na KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI...
 
Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana

mmh hapa tutapishana....mimi nipo usiku saa hii
 
Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana

Avatar hizi jamani! zinafanya watu waote na wawe na ma-imagination ya kuua........ haya, keep on imagining kwa Hisani ya watu wa marekani!
 
What is this 'kwa hisani ya watu wa Marekani' all about?
 
huku nimeshadhibiti.....zinatoka tu haziingii...usiwe na shaka my dear

hata zikiingia hazina neno. kusoma siyo shida, take them as refreshments my dear. ni good kwa afya. lakini kama unaona majaribu ni mengi ni vizuri kudhibiti baadhi ya watu...........
 
"kwa hisani ya watu wa marekani!" (?) :coffee:...:A S 100:...:A S 41:
 
Avatar hizi jamani! zinafanya watu waote na wawe na ma-imagination ya kuua........ haya, keep on imagining kwa Hisani ya watu wa marekani!

kuna mgongo wa preta, sura ya F1 na midomo ile ya pink sikumbuki ya nani. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba kusema nawatamani
 
kuna mgongo wa preta, sura ya F1 na midomo ile ya pink sikumbuki ya nani. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba kusema nawatamani

ha haaaaaaaaaaa, taratibu Kingi!dhambi inaanza kwa kutamani......................
 
Back
Top Bottom