Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
asante
Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana
Hujalala tu?baba hapendi ujue!mmh hapa tutapishana....mimi nipo usiku saa hii
Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana
Hujalala tu?baba hapendi ujue!
teh teh...upo?....kuna mtu anataka kunidanganya....sidanganyiki
tena angalia sana Preta, na sijui huko kwenye PM kunaendeleaje!
Hahaha mwambie wewe sio wa kike bali wewe ni mwanamke!teh teh...upo?....kuna mtu anataka kunidanganya....sidanganyiki
huku nimeshadhibiti.....zinatoka tu haziingii...usiwe na shaka my dear
Hahaha mwambie wewe sio wa kike bali wewe ni mwanamke!
What is this 'kwa hisani ya watu wa Marekani' all about?
Avatar hizi jamani! zinafanya watu waote na wawe na ma-imagination ya kuua........ haya, keep on imagining kwa Hisani ya watu wa marekani!
Kiongozi kuna tangazo moja linalohusu jinsi ya kutatua migogoro kwenye ndoa sasa limedhaminiwa na watu wa marekani!Hii kwa hisani ya watu wa Marekani ndio ****** gani huu?
mkuu redio, tv na magazeti una mzio navyo? Wamarekani wanahisani hadi mapenzi yetu ndugu.
kuna mgongo wa preta, sura ya F1 na midomo ile ya pink sikumbuki ya nani. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba kusema nawatamani