Kwa hisia zako, mchague Dada, kaka na mama wa Taifa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Habari wana JF

Najua hii ni moja kati ya sehemu ninazoshawishika kutumia sehemu ya muda wangu, bila kupoteza muda naomba muwachague miongoni mwa wa-Tanzania, dada, kaka na mama wa Taifa. Hizi ni nafasi ambazo bado zipo wazi kwani baba wa Taifa tayari yupo.

Asanteni
 
MaMa Wa Taifa: SAMIA SULUHU

Sababu ni mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa ile halafu mpambanaji ,,,maana kuwa msaidizi wa yule Bwana sio jambo jepesi kabisa.

Hao wengine waachieni BaSATA na Bongo Movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…