MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Habari wana JF
Najua hii ni moja kati ya sehemu ninazoshawishika kutumia sehemu ya muda wangu, bila kupoteza muda naomba muwachague miongoni mwa wa-Tanzania, dada, kaka na mama wa Taifa. Hizi ni nafasi ambazo bado zipo wazi kwani baba wa Taifa tayari yupo.
Asanteni