Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam!
Ni ukweli usiopingika CHADEMA na wafuasi wao wamekuwa wakishikwa na butwaa baada ya kuona serikali na chama cha mapinduzi kimekaa kimya pamoja na kulazimisha kujibiwa!
CHADEMA wamekuwa wakifanya mikusanyiko bila kuzingatia sheria wanaachwa na mfano ni mapokezi ya Lissu
CHADEMA wamekuwa wakifanya maandamano bila kuzingatia sheria mfano maandamano ya Lissu
Pamoja na hayo yote Serikali na jeshi la polisi wamekuwa wakikaa kimya!
Ukweli ni kwamba chadema hawawezi kufanya siasa bila kufanya vurugu au kuleta vurugu kwa njia yeyote ile....
Lazima watu wajiulize kwanini mawe hayakurushwa kwenye ujio wa Lissu?
Hao warusha mawe walikuwa wapi na chadema na wafuasi wao walikuwa wapi?
Huko kuchoma ofisi mlinzi alikuwa wapi?
CHADEMA wanajulikana ni watu wakupenda vurugu na matukio ili wapate kiki au huruma hata tukio la kupigwa mwenyekiti kila mtu baadae aligundua kuwa ilikuwa ni ulevi ila walitaka kupaka matope CCM na serikali!
Lazima watu wajue kuwa Chadema wanachukizwa na kukaaa kimya kwa CCM ni lazima watafute njia ya kutaka wajibiwe hawana njia zaidi ya kuzua matukio ili ionekane wamefanyiwa vurugu.
CHADEMA ni wanafanya maigizo!