Uchaguzi 2020 Kwa historia ya CHADEMA na tabia zao kuna uwezekano wanajifanyia vurugu ili wapate huruma

Hao ni Chadema?
 
..angalia video hii kutokea dakika ya 2:00 utamjua nani ameanzisha vurugu.

 
Hao ni Chadema?
Usipoteze muda wako, potezea. Ruttashobokerwa na Kagemro ni majuha wawili kutoka machweo ya jua. Uncouth, uncivilized, uncircumcised, unschooled, uneducated, unpolished nincompoops and imbeciles ever existed!
 
Pole!!! Maana mwili unapata shiɗa ƙuɓeɓelea likichwa lisilo msaaɗa ƙwa mwili...😡
 
Umri wako, elimu yako

Unatembe mjini umebeba bichwa kubwa kumbe unatumia kama mtungi wa mate na mfuko wa kubebea meno.

Elimu yetu ina matatizo mengi kwenye mtaala.
Hayo yote ni kwasababu kaizungumzia vby Chadema.?
Na haya ndo maisha yenu, matusi na vurugu ndo hulka yenu.Unataka kila mtu akubaliane na maigizo yenu.? kwani Makengeza hakuwa amelewa,wakati anateguka mguu.?
Msiwe kama kenge jamani.
 

Akili zako ndo zimeishia hapo bro??

Ndo tatizo la kulelewa na kucheza na watoto wa kike sana ukiwa mdogo madhara ndo haya,,
 
Hayo yote ni kwasababu kaizungumzia vby Chadema.?
Na haya ndo maisha yenu, matusi na vurugu ndo hulka yenu.Unataka kila mtu akubaliane na maigizo yenu.? kwani Makengeza hakuwa amelewa,wakati anateguka mguu.?
Msiwe kama kenge jamani.

Huna totauti na nzi wa chooni
 
Wanajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Tunajua sana wala usijali
 
Halafu wewe Ruttashobolwa kabila letu halinaga wapuuzi. Watu wasio na akili kama wewe.Unatudharirisha wahaya wenzio bana.
 
Mpaka nimeona aibu ulicho kiandika. Nimefikiria kwa akili hiyoo ulionayo uliwezaje kujiunga jamiiforum?
 
Jifanyeni hamnazo tu, cdm siasa za kikondoo sasa basi, tumeuwa greengad wawili ktk ujinga wenu huo wataazalishe babu zako mapema waache ujinga!
 
Wanatafuta huruma tu.
Kweli kiongozi unatoka Karatu usiku unasema siwezi kwebda kulala guest house, bora ukalale ofisini. Unafika ofisini unakuta moto ndio unaanza badala ya kupiga yowe watu waje unakwenda kureport police kwanza.
Jana nilimsikiliza yule kijana kwenye taarifa ya habari nikasema ipo kitu pale.
#WATANZANIASIOWAJINGA
 
ACHENI HILA! VURUGU WASIFANYE MIAKA YOTE 5 YA KUPIGWA PINI NDO WAJE WAZIFANYE LEO TENA KIPINDI HUSIKA CHA LUAMZA KAMPENI.

KAMA MMEBANWA KUBALINI HII NCHI NI YA WANANCHI NA WAO NDO WAKUAMUA DESTINY YA NCHI YAO.
Kwani wao pia sio wanaanchi? Wananchi wapo upinzani tu??
 
Kama hapa Chadema wamevaa gwanda za Polisi wanawafanyia fujo Chadema wenzao eeeenh
Your browser is not able to display this video.
 
Hayo yote ni kwasababu kaizungumzia vby Chadema.?
Na haya ndo maisha yenu, matusi na vurugu ndo hulka yenu.Unataka kila mtu akubaliane na maigizo yenu.? kwani Makengeza hakuwa amelewa,wakati anateguka mguu.?
Msiwe kama kenge jamani.
Narudia kama umeshindwa kusema watawala wanavyopiga hela kwenye serikali yako wewe ni zaidi ya mtumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…