Kwa hivi Kili Marathon ilivyo heshima iende kwa Hayati Mzee wetu Philemon Ndesamburo.

Kwa hivi Kili Marathon ilivyo heshima iende kwa Hayati Mzee wetu Philemon Ndesamburo.

Nipo hapa fresh coach restaurant na kula bia nasubiri pakuche tuanze mbio
Tupo na wadau kutoka German Canada Finland Sweden Kenya Nigeria Uganda South Africa
Hakuna kulala tumekesha

Naona madem wa bongo movies wapo
Mo City MO Town ni zaid ya Stockholm
Karibu sana wadau
Aise Moshi kuzuri
 
Back
Top Bottom