The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja sana.
Waliona Ile taasisi ya Butiku hawana nguvu nayo na ndiyo inaaminika kuendeleza mambo ya mwalimu, wakaona hii watafute namna ya kuikata miguu. Isijekupata kiongozi mwendawazimu huko mbeleni akawazingua.
Kama akili za ccm ndio hizi, ndugu zangu wapinzani badilisheni mbinu za kupambana na hawa jamaa. Wamekomaa kifitina.