NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hii bongo kuna magumashi sana Kila Kona 😁Kama kawaida ya watanzania. Wazee wa deadline...dirisha linafungwa tar 15 , malipo tar 14 😂
NGOJA TUONENadhani Kamwe katumika kuwaondoa mashabiki wasiwasi. Deni likilipwa lazima FIFA na TFF watoe tamko
Swala la malipo, ukishalipa FIFA inabiadi wasubiri uthibitisho wa Nyaraka kutoka kwa Mlalamikaji na mlalamikiwa.Kwani amkumuelewa alichokisema Aly kamwe, mbona kaweka wazi kwamba taarifa ya tff imetoka wakati washafanya Clearence ya madeni yote, inawezekana kilichotokea ni masuala mazima ya mawasiliano na uthibitisho wa nyaraka husika kwenda fifa, ivyo Yuko sahihi
Mbona kama una hasira na uliye changanyikiwa, ki ufupi Yanga watalipa madeni na watasajili wachezaji wapya wanao wataka katika dirisha ili.Kila mwaka Yanga na madeni ya wachezaji , madeni na Yanga .GSM tapeli wala tusione aibu kusema ukweli.
Haya madeni ingekuwa simba ndiye anaedaiwa yule mhindi angeshambuluwa Sana na wachambuzi uchwara. Lakini kwakuwa ni tapeli pendwa wa wachambuzi huwezi kusikia wakikemea hii tabia.
Halafu wale Mashabiki uchwara wa uto nao unasikia wanarusha lawama kwa tff kwamba wanaihujumu timu yao badala ya kukemea uongozi wa timu yao.
Na bado kuna la Okrah nalo liko jikoni linapikwa.
Aache kubishana na teknolojia, onyeshe risiti. Isije ikawa jamaa aliyepewa jukumu la kulipia amezichepusha hela“..tulishawalipa, hakuna kesi yoyote FIFA inayoihusu Yanga” – Ally Kamwe anafafanua kuhusu madai ya timu hiyo kudaiwa na baadhi ya wachezaji iliyoachana nao
Wamesha lipa ila kwenye zile dakika za makeleleKwahiyo unategemea kabisa Kamwe aseme Yanga inadaiwa 😂😂😂
tayari wamefunguliwa kusxajiliKwa vile wamejitahidi kuwa mabingwa wa ligi,mashabiki na wanachama wanatulia.
Janja janja Fc
lilikua ni suala la muda tu mkuuKwahiyo unategemea kabisa Kamwe aseme Yanga inadaiwa 😂😂😂