NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
simba wsao wameona kwa yanga ni jambo la kujifarijiMbona wadaiwa ni timu nyingi za Tanzania zikiwemo Fountain Gate ,Singida Big Stars na Tabora United mbona hamzisemi ? Mnangángánia Yanga tu ?