Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Acha udini kijana...
Huyo ni Mtanzania na ameleta mada kama Mtanzania na si kama Muislamu.

Tumia akili akili acha kukurupuka....

wamerudisha daladala baada ya uwekezaji wote mkubwa wa mwendokasi ambapo lengo lilikuwa kuboresha usafiri na kuachana na daladala hawakuelewa hilo wameua mwendokasi wamerudisha daladala, btw nani alileta bodaboda tanzagiza na kuruhusu kuwa usafiri wa abiria? bodaboda haukuruhusiwa kubeba abiria hapo zamani, unafikiri nani alileta chaos ya bodaboda ?
 
Back
Top Bottom