Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine.

Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
 
CDM ndiyo hao kwa juu.

CCM ndiyo ha kwa chini..
Screenshot_20260518_174702_WhatsApp.jpg
 
Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billbrd na mataifa mengine.

Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
Vitani hakuna kuchaguliana silaha, kama ccm wamechagua kufanya ujinga ujinga waachwe hivo hivo.
 
Na ndipo upeo wao wa kufikiri ulipoishia.
Lakini kwa akili na desturi za CCM, anayeshughulika na huo ujinga, haangalii kama mbinu hiyo inawasaidia au hapana, yeye anaangalia kupitia hiyo mbinu fake, atatengeneza shilingi milioni ngapi? Kwa CCM, kila kitu ni deal la kutengeneza pesa. Hata kama ni msiba.
 
Chama cha majambazi wana akili finyu kama makalio ya bata mzinga
 
Back
Top Bottom