Kwa hiyo Mama Samia kule London alichagua kupanda basi au alilazimishwa?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Embu tuweke ushabiki pembeni, sasa tujadili hili.

Ni kweli rais wetu mpendwa mama Samia ameoneka kwenye msiba wa malkia wa Uingereza akiwa ndani ya basi, na picha mnato ikionyesha kama hakupenda kupigwa ile picha, yaani hakuwa comfortable kivileee!

Sasa kwa namna tulivyozoea kuona akiwa ziara za ndani hapa Tanzania Rais Samia huwa na msururu wa magari ya kifahari, akisindikizwa na helkopita huku shughuli zote za kijamii zikisimama kwenye mazingira ya barabara kwa muda wa saa kadhaa ili kupisha tu msafara wa rais kwa kigezo cha kiusalama. Kwa namna yoyote tukio la kupandishwa basi rais Samia haliwezi kupita bila kujadiliwa. Ni lazima tu tutalijadili tu.

Kama kupandishwa kule basi ulikuwa ni utaratibu wa wenyeji wake huko Uingereza, je Rais Samia alikubaliana nao au alilazimishwa?
Katika mazingira yale, rais wetu alikuwa salama kiasi gani?
Wakati rais Samia yuko kwenye basi, walinzi wake walikuwa wapi?
Mbona kuna marais wengine (sio kutoka Afrika) walikuwa kwenye magari binafsi na misafara maalum, vipi rais Samia ashindwe kupewa msafara wake ikiwa anataka hayo?
 
Wewe uliyekwenda huko tuambiye hiyo misafara ilipita barabara zipi maana sisi hatukuiona kwenye runinga zaidi ya gari za familia ya mfalme.
 
Kule alikuwa na hadhi ya afisa mtendaji kata. Nilishangaa pamoja na waandishi kuwatafuta viongozi wanawake kutoka kwenye nchi mbalimbali na kuwahoji, wa kwetu alipotezewa kabisa.
 
Wewe uliyekwenda huko tuambiye hiyo misafara ilipita barabara zipi maana sisi hatukuiona kwenye runinga zaidi ya gari za familia ya mfalme.
Mfano rahisi na dhahiri ni Rais wa USA (Biden) aligoma kupandishwa basi na alitumia usafiri wake binafsi.
 
Embu tuweke ushabiki pembeni, sasa tujadili hili.

Ni kweli rais wetu mpendwa mama Samia ameoneka kwenye msiba wa malkia wa Uingereza akiwa ndani ya basi, na picha mnato ikionyesha kama hakupenda kupigwa ile picha, yaani hakuwa comfortable kivileee!

Sasa kwa namna tulivyozoea kuona akiwa ziara za ndani hapa Tanzania Rais Samia huwa na msururu wa magari ya kifahari, akisindikizwa na helkopita huku shughuli zote za kijamii zikisimama kwenye mazingira ya barabara kwa muda wa saa kadhaa ili kupisha tu msafara wa rais kwa kigezo cha kiusalama. Kwa namna yoyote tukio la kupandishwa basi rais Samia haliwezi kupita bila kujadiliwa. Ni lazima tu tutalijadili tu.

Kama kupandishwa kule basi ulikuwa ni utaratibu wa wenyeji wake huko Uingereza, je Rais Samia alikubaliana nao au alilazimishwa?
Katika mazingira yale, rais wetu alikuwa salama kiasi gani?
Wakati rais Samia yuko kwenye basi, walinzi wake walikuwa wapi?
Mbona kuna marais wengine (sio kutoka Afrika) walikuwa kwenye magari binafsi na misafara maalum, vipi rais Samia ashindwe kupewa msafara wake ikiwa anataka hayo?
Huyu mama hana makuu maisha anaona ni mapito sioni kama alipata tabuu yoyote kwa kupanda hiyo basi
 
TOZONIA
IMG_20220920_094905_673.jpg
FB_IMG_1663653759881.jpg
 
Back
Top Bottom