Kwa hiyo Mama Samia kule London alichagua kupanda basi au alilazimishwa?

Lijikonda
 
Wakati wa mazishi ya baba wa taifa hapa Bongo, marais waliohudhuria walipanda mabasi kwenda uwanja wa taifa. Hakuna cha ajabu hapa. Utaratibu wa kupanda mabasi uliwekwa wazi, kama mtu hataki hakulazimishwa kwenda. Vile vile ukweli utabaki kuwa ukweli rais wa USA hawezi kulinganishwa na wa nchi za ulimwengu wa kwetu.
 
Marais wa Afrika wakiwa mbele ya mfalme au Malkia ni kama tu ma DC.

Bado ukoloni upo.
 
Kule alikuwa na hadhi ya afisa mtendaji kata. Nilishangaa pamoja na waandishi kuwatafuta viongozi wanawake kutoka kwenye nchi mbalimbali na kuwahoji, wa kwetu alipotezewa kabisa.
Ulotaka ahojiwe kwani alichaguliwa na wananchi??
 
Huo ilikuwa utaratibu wa kiProtocali acha uzwazwa! Kwani yuko peke yake.
 
King Charles the Third ni by de facto, Mkuu wa nchi ya Tanzania. Kwahiyo lazima Samia Hussein aufyate. Akiwa huku angalau atafute reputable ESL course, hata Oxford University since she can afford the fees through the myriad taxes and levies ili aache kuchanganya Kiingereza chake cha Kizanzibar/Kipakistan na Kiswahili kwenye hotuba zake. Marais wa Angola au Ivory Coast hawachanganyi Kireno na Kifaransa na lugha zao wakihutubia. Juzi nimemsikiliza, anazungumza Kiingereza sentensi 2/3 halafu anaingiza Kiswahili, halafu anarudia Kiingereza. She was totally incomprehensible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…