Magu ana lipi jipya ambalo halijatendwa na walio mtangulia labda jipya ambalo limeshangaza dunia Ni kujenga uwanja wa ndege huko kwao chato na Kuhamisha wanyama Serengeti na kuwapeleka huko kwao chato. Huyu Ni fisadi tu.Chadema na watu wake ovyo sana, kwahiyo na nyie mgombea wenu atakuwa anaongelea uhuru wa kubwabwaja na yeye kutandikwa risasi tu? Ya ngoswe muachie ngoswe. Magu ana mambo mengi kuna baadhi umeyataja na mengine mara 6 yake ya uliyoyataja. Na mengi yake amesha yatekeleza hakuna ambaye hajui zaidi ya nyie waroho wa madaraka mnaotaka kuingia na porini.
Kwani Ni uongo hakupigwa risasi? Wauwaji wakubwa mnataka Tena mitano mingine ili muendelee kuuwa watanzania, Safari mmeumbuka. Majizi makubwa.
Stress zako sio biashara yanguKwani Ni uongo hakupigwa risasi? Wauwaji wakubwa mnataka Tena mitano mingine ili muendelee kuuwa watanzania, Safari mmeumbuka. Majizi makubwa.
Mbona mukienda ulaya mnapiga picha kwenye vitu vinavyoonekana mbona huwa ampigi picha ukiwa unakunya barabarani au unakojoa barabarani au ata kumtukana kiongozi wa nchi uliyokwenda kutembea,mnashindwa kuelewa uubwaji wa binadamu na hulka zake,mwanadamu hatosheki ndio maana unaweza kumpa uhuru mwanao afanye atakacho ila ipo siku atajutia uhuru ule uliompa kuwa ndio uliomsababishia jambo fulani,hivyo kama nchi hatupaswi kuwa watu wa kulaumu na kukosoa badala ya kushauri,nikufahamishe tu kuwa hakuna nchi duniani yenye uhuru kama tanzania ndio maana lissu anajilopokea kile atakacho,sema mambo ya kuiga mnataka iwe ruksa kwa chochote wakati kichwani hamjaingiza uelewa wa madhara na faida ya uhuru husio na mipaka .Magu ana lipi jipya ambalo halijatendwa na walio mtangulia labda jipya ambalo limeshangaza dunia Ni kujenga uwanja wa ndege huko kwao chato na Kuhamisha wanyama Serengeti na kuwapeleka huko kwao chato. Huyu Ni fisadi tu.
Jamaa kazuia vyombo vya habari visitangaze habari za wapinzani, hiyo Tz au Korea kusini?Hii nchi ilishakuwa huru kwa takribani miongo sita sasa, wewe endelea na minyorororo hapo ufipani. Sisi tunajenga nchi.
Kazi ipo mkuu
[/QUOTEccm ni mafundi uashi wataongelea saruji,nondo,kokoto, mchanga binding wire chokaa majembe lami
labour charge na mitambo
chagua anayeongea unayotaka.CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?
Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?
CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
Muulize mama yakoCCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?
Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?
CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
Foolish, Kwani wewe Jiwe ni Mama yako? au mmeo?Muulize mama yako
Kwake yeye wananchi kutumbukizwa kwenye viroba, wakiwa maiti, kwake yeye siyo issue.....CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?
Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?
CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
Wewe unaona hizo ni issue ndogo?
Huyu mzee ndo aliizoofisha CCM, kidogo imfie rafiki yake Jakaya.Kampeni ya Mzee Makamba
Mwaka 2012 Uenyekiti toka kwa Mkapa kwenda kwa Jakaya Kikwete
Mwaka 2012 CCM ya Enzi za Mzee Makamba akitangaza safu ya timu ya ushindi huku kwenye bench kuna kocha na kamati ya ufundi ili kikosi kicheze kama timu kwa kusaidiana, CCM Mpya ya leo haina timu ina mchezaji mmoja, kocha yeye, kamati ya ufundi yeye
Katibu Mkuu mstaafu Mzee Makamba aisifia timu ya wenyeviti wa mikoa : Kaburu kule Kigoma, Shekifu kule Tanga, Madabida kule Dar es Salaam, Joseph Msukuma kule, Mgeja umehangaika sana umelia nyote kama wenyeviti wa mikoa wa CCM ili kumpata kiongozi kwa manufaa ya CCM na nchi, mheshimiwa Jakaya na yeye ni binadamu kama sisi ana mapungufu yake...
Hizo habari unajua ulikozitoaWewe unaona hizo ni issue ndogo?
Ngojea uone hiyo tarehe 28 oktoba, uone kama wananchi walikuwa wanamuwlewa Tundu Lissu, au walikuwa wanamuina anabwabwaja tu
Hazikuwa tathmini zenu kipindi hicho. Nae mlimsifu nakumpaisha mlivoweza ila mwisho wa siku alikaa na wakongwe wa huu mchezo wakashinda.2015 alikutana na mgombea bubu