Kampeni ya Mzee Makamba
Mwaka 2012 Uenyekiti toka kwa Mkapa kwenda kwa Jakaya Kikwete
Mwaka 2012 CCM ya Enzi za Mzee Makamba akitangaza safu ya timu ya ushindi huku kwenye bench kuna kocha na kamati ya ufundi ili kikosi kicheze kama timu kwa kusaidiana, CCM Mpya ya leo haina timu ina mchezaji mmoja, kocha yeye, kamati ya ufundi yeye
Katibu Mkuu mstaafu Mzee Makamba aisifia timu ya wenyeviti wa mikoa : Kaburu kule Kigoma, Shekifu kule Tanga, Madabida kule Dar es Salaam, Joseph Msukuma kule, Mgeja umehangaika sana umelia nyote kama wenyeviti wa mikoa wa CCM ili kumpata kiongozi kwa manufaa ya CCM na nchi, mheshimiwa Jakaya na yeye ni binadamu kama sisi ana mapungufu yake...