CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
usijitoe fahamu wewe kabla ya kugongwa nje ndani na wanaija nani alikuwa anafanhya media tour ya kujibrand na kuja na ma slogan?Mnapata shida kutofautisha kati ya Afisa Habari wa Klabu & Msemaji Wa Klabu. Hii inatokana na kuwa pale Makolokoloni hakuna cheo cha Afisa Habari wa Klabu.
Ila msipate shida sana. MTAZOEA TU.
usijitoe fahamu wewe kabla ya kugongwa nje ndani na wanaija nani alikuwa anafanhya media tour ya kujibrand na kuja na ma slogan?
Tunawakumbusha tu kwamba next week kuna mtu kazi yake itabaki kupost asas milk na azam huku akiwatukan awashabiki wa simba wakae mbali na bidhaa hizo maana media itakuwa ya moto kwake
kawaulize ccm lumumba waliomtengeneza huko kwenye issue za kesi za wizi wa magari simba haihusiki naye hata kidogo kwa sasa ana brand bidhaa za azam kumsaidia bakhressa kumtukana Mo kibiasharaMnataka kutuaminisha kuwa msukule mliye mtengeneza nyinyi ana anza upya "Kujibrand"?
Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.Tunawakumbusha tu kwamba next week kuna mtu kazi yake itabaki kupost asas milk na azam huku akiwatukan awashabiki wa simba wakae mbali na bidhaa hizo maana media itakuwa ya moto kwake
unaonaje ukianzisha huop mjadala? mana mjadala wa hapa unamuhusu mtu aliyejikausha kama siyo yeye media tour zimewekwa pending kwanza kusikilizia matokeo maana akiongea sana kina mzee magoma watamuwamba makofi kwelikweliInaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.
Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Kina mzee magoma wanashangaa mtu mwenye kadi ya simba anajimwayamwaya kwenye corridors za utopoloniNafasi aliyopewa Simba kubwabwaja kwa kilajambo pale Uto aipo.
Ya 4 na ya kigoma sio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.
Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Mechi 6 hizi hapa:Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.
Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Wananitoa ufahamu kuwa Sisi tunawafunga game muhimu tuYa 4 na ya kigoma sio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
*WanajitoaWananitoa ufahamu kuwa Sisi tunawafunga game muhimu tu
Daima mbeleYaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa
Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam huku akiwatukana simba na viongozi wake
Hata utopoloni hicho cheo hakipo, ila kilitafutwa ili kulinda ajira za watu waliozichapa kavu kavu kugombania usemaji wa klabuMnapata shida kutofautisha kati ya Afisa Habari wa Klabu & Msemaji Wa Klabu. Hii inatokana na kuwa pale Makolokoloni hakuna cheo cha Afisa Habari wa Klabu.
Ila msipate shida sana. MTAZOEA TU.
Ya mwisho ni ya Kigoma, Simba 1 Yanga 0Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.
Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.