Kwa hiyo msemaji wa ngao ya hisani ni Bumbuli siyo?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa

Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam huku akiwatukana simba na viongozi wake
 
Mnapata shida kutofautisha kati ya Afisa Habari wa Klabu & Msemaji Wa Klabu. Hii inatokana na kuwa pale Makolokoloni hakuna cheo cha Afisa Habari wa Klabu.

Ila msipate shida sana. MTAZOEA TU.
 
usijitoe fahamu wewe kabla ya kugongwa nje ndani na wanaija nani alikuwa anafanhya media tour ya kujibrand na kuja na ma slogan?
Tunawakumbusha tu kwamba next week kuna mtu kazi yake itabaki kupost asas milk na azam huku akiwatukan awashabiki wa simba wakae mbali na bidhaa hizo maana media itakuwa ya moto kwake
 
Mnataka kutuaminisha kuwa msukule mliye mtengeneza nyinyi ana anza upya "Kujibrand"?
 
Tunawakumbusha tu kwamba next week kuna mtu kazi yake itabaki kupost asas milk na azam huku akiwatukan awashabiki wa simba wakae mbali na bidhaa hizo maana media itakuwa ya moto kwake
Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.

Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
 
unaonaje ukianzisha huop mjadala? mana mjadala wa hapa unamuhusu mtu aliyejikausha kama siyo yeye media tour zimewekwa pending kwanza kusikilizia matokeo maana akiongea sana kina mzee magoma watamuwamba makofi kwelikweli
 
Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.

Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Ya 4 na ya kigoma sio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.

Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Mechi 6 hizi hapa:
Msimu wa juzi,
Simba won 1 (4-1) draw 1 (2-2) Yanga won 1 (1-0); Msimu uliotoka kuisha,simba won 1 (1-0) draw 1 (1-1) yanga won 1 (1-0).Umemuona kilaza hapo akikaa vibaya huwa anabugizwa nyingi.
 
Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa

Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam huku akiwatukana simba na viongozi wake
Daima mbele

........Mnaanza kuteseka mapema Jumamosi bado.
 
Mnapata shida kutofautisha kati ya Afisa Habari wa Klabu & Msemaji Wa Klabu. Hii inatokana na kuwa pale Makolokoloni hakuna cheo cha Afisa Habari wa Klabu.

Ila msipate shida sana. MTAZOEA TU.
Hata utopoloni hicho cheo hakipo, ila kilitafutwa ili kulinda ajira za watu waliozichapa kavu kavu kugombania usemaji wa klabu
 
Inaonekana hufuatilii hata timu yako kwa uzuri zaidi.

Kwanza kabisa kabla hatuja anza kujadiri niletee matokeo ya mechi 5 za mwisho za Simba Vs Yanga.
Ya mwisho ni ya Kigoma, Simba 1 Yanga 0
 
Back
Top Bottom