britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kiburi cha huyu Bibi ndio anguko lake hasa.
Tume ya kijaji ipi, hawa hawa waliokuwa wanashiriki uchafu kwenye tawala hizi? Subiri tarehe 9 tuingie barabarani ndio mlete hiyo tume yenu ya ccm.Samia kawashika pabaya jamani haya akina mwabukusi/ Heche walikua wanaomba tume ya kijaji iundwe na kuchunguza yaliyotokea hiyo hapo imeshaundwa mnataka nini?
ANATUONA MAFALA SANA! NIKUTUTUKANA! TUME HAZINAGA MAANA KABISATume ya kijaji ipi, hawa hawa waliokuwa wanashiriki uchafu kwenye tawala hizi? Subiri tarehe 9 tuingie barabarani ndio mlete hiyo tume yenu ya ccm.
Tume!!!!
Siamini aisee. Kwa hiyo SADC wana Time yao, serikali ina Tume yake?
Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa tutle yake ya SADC badala ya title aliyokuwa nayo wakati haya yanatokea? Wana maanisha kwenye hiyo tume yeye ndiye Mwakil8shi wa SADC??
Naona hatuko serious na suala la mauaji
Tax so alikuwa Waziri wa Ulinzi? Anaenda kujichunguza?
HAPANA, hii Tume haipo sawa.
Nadhani tumeamua kulipuuzia hili swala
Britanicca View attachment 3503817
Kwa hiyo wewe Kwa uzoefu wako hapa jukwaani ulikuwa unadhani tume itakayo undwa na ccm inaweza kuwa na maajabu yoyote ?? Tume zote zilizowahi kuundwa na serikali hii ya ccm hazina lengo la kutoa majibu Bali ni hadaa tu Kwa wananchi.Tume!!!!
Siamini aisee. Kwa hiyo SADC wana Time yao, serikali ina Tume yake?
Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa tutle yake ya SADC badala ya title aliyokuwa nayo wakati haya yanatokea? Wana maanisha kwenye hiyo tume yeye ndiye Mwakil8shi wa SADC??
Naona hatuko serious na suala la mauaji
Tax so alikuwa Waziri wa Ulinzi? Anaenda kujichunguza?
HAPANA, hii Tume haipo sawa.
Nadhani tumeamua kulipuuzia hili swala
Britanicca View attachment 3503817
Kwanza huyo sefue tume ngapi alikuwepo na hakuna majibu mpaka Leo !! Hapo Samia anaenda kujichunguza hakuna jipya.Tume!!!!