PostGE2025 Kwa hiyo SADC wana Tume yao, Serikali ina Tume yake? Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa title yake ya SADC?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..inaelekea Mama hana nia ya kupata suluhu, na kujua ukweli wa yaliyotokea.
Mkuu, hivi unataka kusema Mkuu wa nchi akiwa na nia ya kweli ya kujua kilichotokea kwenye nchi ni lazima aunde tume kuchunguza?
​
 
Mkuu, hivi unataka kusema Mkuu wa nchi akiwa na nia ya kweli ya kujua kilichotokea kwenye nchi ni lazima aunde tume kuchunguza?
​

..kwa yaliyotokea ni vizuri akaunda Tume.

..lakini Tume atakayoiunda ni lazima iwe na watu waaminifu, weledi, waliotayari kumuambia ukweli.

..kilichomponza Mama ni kukubali ushauri wa kuitupa mkono falsafa yake ya 4R.

..sasa inaelekea mpaka leo hii bado amefungamana na genge na washauri hao.

..kuupata ukweli, na kutoka hapa tulipo, kitu cha kwanza anachotakiwa kufanya ni kuachana na wote waliomfikisha yeye kama Raisi, na nchi, hapa tulipo.
 
Nadhani tuungane kuandika barua kwa mteuliwa sijui mmalawi huyo na umoja wa mataifa hivi’ Thanks but no Thanks’

Tuanze na uwajibishaji wa wauwaji
Tunataka uchunguzi ufanywe na western countries
Hakuna Maridhiano
Kufuta uchaguzi
Kuwaweka serikali haramu yote kuzuizini
Kulishutumu jw Tz na polisi na vyama haramu vya kisiasa

Tuanzie hapo
Tusijadili wateuliwa
We have to take action now
Barua ziandikwe ASAP
HATUTAKI MARIDHIANO PERIOD!
 
Anahusika na yote yaliyotokea
Msianze kumpamba
Hafai kubaki na serikali yake batili

Reform is the way forward

UN msitutanie
Maridhiano ili iweje
Lock hawa kwa jela

ICC ndio jawabu

Tusitoane kwenye reli let’s focus kuikataa serikali haramu
 
Mimi pia hiyo SADC imenishangaza!! Huyu Mama huwa anadharau sana sana. Anafikiri hatuoni ujinga wake, wala hatuelewi.
 
Bro britanicca hata tume ya uchaguzi chini ya yule jaji mwaisa iliitwa TUME HURU YA UCHAGUZI.
Hii tume kwanza haina watu wetu, ni watu wao tu.
Actually nini kisichojulikana kilichopelekea yale maandamano. Kuna mjinga yoyote asiyejua sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…