N shidaaaaaJana semaji la Taifa lilitua Morocco kuungana na mdhamini wake ila bahati mbaya kutokana na poor logistics zilizofanywa na wadhamini timu imeshindwa kuendelea na kambi. Sasa sijui semaji nalo litarudi na timu au ataendelea kula upepo hapo Jijini Marrakech?
Anakata anga tu wewe uko huku unakula mihogo kama nguruwe pori, unajisemea oohh kakosea au kafanya vile. Fanya mambo yako achana na ishu zake.Jana semaji la Taifa lilitua Morocco kuungana na mdhamini wake ila bahati mbaya kutokana na poor logistics zilizofanywa na wadhamini timu imeshindwa kuendelea na kambi. Sasa sijui semaji nalo litarudi na timu au ataendelea kula upepo hapo Jijini Marrakech?
Kumbe ndio ilikuwa kazi yenu mlipokuwa mnaneda kucheza UarabuniSemaji anapaka hina watoto wa kiarabu apate nauli ya kurudi
Dah.... Dunia Inaenda Kasi Mno...!
Dah.... Dunia Inaenda Kasi Mno...!
Kadiri siku Zinavyosonga ndivyo anavyozidi Kusahaulika ama Kweli Usicheze na Hizi timu Simba na Yanga.
Ila Yanga mpokeeni tu Kujipoza na Machungu ya ile 'Mitusi na Kejeli' zake