Kwa hiyo Semaji la Taifa itakuaje?

Kwa hiyo Semaji la Taifa itakuaje?

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Jana semaji la Taifa lilitua Morocco kuungana na mdhamini wake ila bahati mbaya kutokana na poor logistics zilizofanywa na wadhamini timu imeshindwa kuendelea na kambi. Sasa sijui semaji nalo litarudi na timu au ataendelea kula upepo hapo Jijini Marrakech?
 
N shidaaaaa
 
Anakata anga tu wewe uko huku unakula mihogo kama nguruwe pori, unajisemea oohh kakosea au kafanya vile. Fanya mambo yako achana na ishu zake.
 
Hahahaha yeye ni public figure angekua ni nobody kama mimi unafikiri hata ningemuwaza.
 
IMG-20210823-WA0121.jpg
 
Semaji lemepeleka gundu kwenye viunga vya utopolo
 
Dah.... Dunia Inaenda Kasi Mno...!
Kadiri siku Zinavyosonga ndivyo anavyozidi Kusahaulika ama Kweli Usicheze na Hizi timu Simba na Yanga.
Ila Yanga mpokeeni tu Kujipoza na Machungu ya ile 'Mitusi na Kejeli' zake

Hawajui wampokee am la,bahati mbaya sana Manara ni Chawa Pro Max wa GSM hawana cha kumfanya,si unaona alishajipeleka na Morroco kwa nauli ya Ghalib [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom