Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Doooh! this is too sad oo!
 
Watanzania mahakamani hawahukumu haki ya ukweli wanahukumu haki ya kisheria .nikikubaka asione mtu na hata vipimo viseme umeingiliwa kwa nguvu kama huna shahawa zangu kimahakama sijakubaka
 
Nani ana hukumu ya hii kesi awiweke hapa watu waisome waone kilichojiri Mahakamani.
2. Jamhuri bado wanaweza kwenda Mahakama ya Rufaa kama kuna sababu za msingi na Mke wa Msuya akahukumiwa kunyongwa. Mfano Bageni.
3. Kesi za Mauaji ni Ngumu Sana upande wa Jamhuri kuthibitisha kosa kwani mara nyingi ushahidi unakuwa ni shida.
 
Reactions: Tui
Hicho kiwanja kina thamani kubwa kiasi Gani kulinganisha na Mali zingine alizoachiwa mke wa Bilionea Msuya?
 
At least ww nimekuelewa mkuu
 
Ofisi ya DCI itenganishwe na ofisi ya polisi

Iwe independent km FBI ya usa

Pia ikiwezekana. TISS wahusishwe kweenye uchunguzi

Inamaana wameshindwa daka mawasiliano ya watuhumiwa na location za siku za nyuma?

Inamaana hapo kuna hela imetembezwa kwa hadi mashahidi walegeze ushahidi?
 
mkuu hv uffwoo swarro aliendaga wp?
 
Ushahidi wa Simu ya House Girl ulikuwaje? Huko Mitandaoni hawakugundua House girl alikuwa anawasiliana na Nani? Hadi kufikia kuambiwa ondoka akapewa 20000 tau?? Au ushahidi huo umetupiliwa mbali??πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ™†πŸ™†
 
nasubiri kwa hamu mkuu
 
Hii sio Dunia nyangu kweli
 
Una umri gani kwanza tuanzie hapo? Hii kesi nimeanza kuisikia na kusoma kwenye blogs na kwenye magazetinya uwazi mwaka 2013. Na tukio la mdogo wake linatokea huo mwaka 2016 nilikuwa still napata zile latest za tukio.

Wewe unakuja kusoma majumuisho ya hii kesi mwaka 2024 leo are you being serious right now?

Kuna wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye hotel ya huyu billionaire miaka hiyo kabla hajafariki na walitoa shuhuda zao za mwenendo wa kimahusiano wa huyu mama na mumewe na hata story za minong'ono ya wakati huo ambazo kwasasa unaweza usizisikie.

Wewe unajua siku kadhaa kabla ya tukio la kuuwawa huyo baba kulitokea mfululizo wa matukio gani nyuma?

Unafahamu wauwaji walitumia silaha gani na ripoti za polisi zilisemaje?

Unafahamu hata tukio lilitokea eneo gani na nini kikafuata baada ya tukio?

Unajua dada wa marehemu aliyeuwawa alikuwa na issues gani na mke wa marehemu?

Unafahamu kauli za mke wa marehemu kwa dada wa marehemu na familia ya marehemu?

Unajua siku ya tukio ni nini kilitokea?

Unajua kuwa nyumba ilikuwa na House girl na boyfriend wa house girl alikuwapo kwenye tukio?

Unajua kuwa House girl alikuwa na mawasiliano gani na mke wa huyu billionaire au watuhumiwa wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…