Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Ninavosikia Bilionea aliacha Urithi 60% kwa mke na 40% kwa ndugu zake sasa mke akataka mali zote ale mwenyewe
Hakukuwa na wosia wa hivyo, mirathi automatically ilikuwa kwa mwanamke na mali zote zilikuwa chini yake na yeye ndie alikuwa na wajibu wa kuwagawia wanafamilia yake urithi.
 
Inafikirisha sna nshindwa kupata angle chuki gan had ue ndugu wa mume ili umiliki pesa of which pesa iko kwa mikono yake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yule dada aliuwawa kwasababu ndie mwanafamilia pekee alikuwa anajiongeza katika kushirikiana na private investigators kupata ushahidi wa kumkamata na kumtia mbaroni huyu mke wa jamaa na ndio kilichosababisha akatengenezewa njama za mauwaji na hatimae dhamira ikatimia.
 
Hivi kilikuwa ni kiwanja au ni hoteli? Me nakumbuka ilikuwa ni hoteli bwana.
 
Najiulizai wanaume wa kimachame wanawajua vizuri Dada zao ila bado wanawaoa tu, kwa nini wasioe makabila mengine? Mfano wasukuma.
 
Kwamba huyu Mke wa Msuya ndiye aliyemuua Msuya ? hili jipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie hii kesi mnadhani imeanzia kwenye mauwaji ya Anethe Msuya? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni heri kumwachia huru mwalifu kuliko kumuhukumu asiye na hatia.

Ukielewa hilo hutapata shida.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
da!!! nimemkumbuka yule msomali HAMZA alivokamata mtutu na kuamua kujiongeza!!!!,,,,,usione m2 anaamua kujitoa mhanga ukachukulia ni jambo dogo aisee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie hii kesi mnadhani imeanzia kwenye mauwaji ya Anethe Msuya? [emoji23][emoji23][emoji23]
Waliomuua Msuya si walishahukumiwa au ikoje hii ?
 
[emoji817] muuaji ni mwanaume sababu hata chupi ya marehem ilivuliwa kwa nguvu kabla hajabakwa.
 
Umri wangu huhitaji kuujua maana hausaidii lolote kuhusu hii kesi. Mauaji ya Bilionea yameelezewa sana katika mwenendo wa kesi yake. Sio suala jipya, sana sana haya maswali unayouliza hayaendani na kumbukumbu rasmi zilizopo juu ya suala la mauaji ya Msuya.
 
Mali, mali, mali ,mali, Hayo Mazee ya baraza yalipotamka tu yakwamba mshtakuwa hana kosa nilijua tayari "DILI" limetiki, jaji mnafiki kajitutumua kwakusema eti washtakiwa wana kesi ya "KUJIBU" hv anafanya wt wajinga, siku zinakuja wote waliotenda uovu huu wataangamia.....
 
Binafsi nilistaajabu sana SABAYA kuachiwa kumbe kuna hili la MKE WA MSUYA
 
Kwanza Mali za mume na mke dada anahusikaje?Aneth ameponzwa na tamaa ya Mali.Walipewa73 milion each.Yeye alikua anataka nin sasa?
 
Ni kweli marehemu alichinjwa. Swali linabaki je ni nani alimchinja?

Vyombo vya dola vinalojukumu la kufanya uchunguzi na kuujulisha umma.

Kama mtuhumiwa sio Basi aatuambie alofanya hayo mauaji ni nani?
 
Huo ukoo ushaingia dosari kubwaa, kisasi kitaenda karne na karne

Huyo mtoto wa Aneth atakua! mziki utaanza tena hivi ni wakiume😂
Anaweza kuwa kweli kauawa , lakini aliyemuua ni huyu mnayemdhania, kwanini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…