dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Ni Africa nzima ukitoa Nigeria, Ghana na Kenya tu na hapo ni kwa waliosomaEti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike?
Karibuni.
Uzi tayari.
Acha kuwapangia watu maisha ya kuishiEti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike?
Karibuni.
Uzi tayari.
Ungesema "mimi" sio "sisi"