Kwa hiyo sisi Watanzania ndio tumeshindwa kabisa kutunza muda?

Kwa hiyo sisi Watanzania ndio tumeshindwa kabisa kutunza muda?

Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike?
Karibuni.
Uzi tayari.
Ni Africa nzima ukitoa Nigeria, Ghana na Kenya tu na hapo ni kwa waliosoma
 
Hamna kitu kama hicho, labda kwako na family yako tu walahi!
Utukome Watanzania [emoji35]
 
Back
Top Bottom