Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Huwa nawatazama kwenye tv mmenawiri mnapendeza kweli. Mnaongelea masafa/frequency kila leo. Kuna ishu ya hawa wapigaji wa mitandao. Wapo wengi ila leo nitaongelea hawa wa mesejo za "ile hela tuma kwenye namba hii". Ni kero kero sana. Wapo pia wale wanaopiga kujifanya wafanyakazi wa mitandao husika. Eti inaonekana simu yako imefunhiwa. Sasa bonyeza nyota...
Bila kusahau wale wa tiba asili na waganga. Niliibiwa samsung yangu mpya pale mwendokasi gerezani. Bahati mbaya nilikuwa nimeireset hivyo haikuwa na lock yoyoye. Ndugu zangu na marafiki walisumbuliwa sana na mwizi huyo aliyegeuka tapeli. Nilifuatilia pale Msimbazi polisi, nikapewa na mpelelezi. Mbona nilisarenda mwenyewe? Na simu nilisamehe ila bado hadi leo nakumbuka.
Hoja yangu ni kwamba, tcra mnafanya kazi gani? Au mmewaachia makampuni ya simu? Waziri kwa kasi aliyokuwa nayo kwenye ardhi anashindwaje kutumia kasi hiyo kwa hawa matapeli? Kwenye makala zenu sijaona mnaongelea hili suala la utapeli wa kimtandao kwa ngazi niliyoelezea hapo juu. Mkijua kunawiri mjue na kuwajibika pia