Kwa hiyo tumekubaliana hatuendi tena kwa mama?

Kwa hiyo tumekubaliana hatuendi tena kwa mama?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wale wazee wa busara waliopanga kwenda kwa mama wanasemaje sasa?

Wale mashabiki isipokuwa wawili tu waliosemwa wana akili, bado wana kiu ya kwenda kudeka kwa mama dhidi ya waamuzi?
 
Sasahiv uhakika si umeona leo pale manungu refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza halafu cha pili kaongeza 4 jumla 9..
 
Wale wazee wa busara waliopanga kwenda kwa mama wanasemaje sasa?

Wale mashabiki isipokuwa wawili tu waliosemwa wana akili,bado wana kiu ya kwenda kudeka kwa mama dhidi ya waamuzi?
Inauma sana kuona uwanja na timu ile ile iliyocheza na timu uipendayo ikatoka droo alafu anakuja Yanga anashinda kiulaini na kuondoka na point 3
 
Wale wazee wa busara waliopanga kwenda kwa mama wanasemaje sasa?

Wale mashabiki isipokuwa wawili tu waliosemwa wana akili, bado wana kiu ya kwenda kudeka kwa mama dhidi ya waamuzi?
unateseka ukiwa wapi KOLO???
 
Sasahiv uhakika si umeona leo pale manungu refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza halafu cha pili kaongeza 4 jumla 9..

Acheni kulia lia bhana! Yanga msimu huu ndiye Bingwa wenu. Na kwa bahati mbaya sana, mwaka viporo haviliki! Yaani mkirudi, ni vipigo tu mwanzo mwisho.
 
Kwahiyo kwa mama hamuendi tena??
Kwahyo kwa mama hamuendi tena, kufanya nini?

Ya.jpeg
 
Back
Top Bottom