Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Chama kinatengenezwa kwa mambo 3 ili kuweza kuendelea kuwepo.
Kwanza System,structure na Itikadi/kanuni/sheria.
System/Mfumo unaangalia namna gani utasimamia itikadi isiweze kiharibiwa kwa kuangania products/inputs (wanachama au sera) na output hapa inarelate matokeo ya sera ndani na nje ya chama na kuangalia namna gani hizi sera zinakuwa attrative kwa wanaonadiwa.
Pili ni structure/Muundo inatumika kama Communication channel ndani na nje ya chama,kuwepo kwa structure hakubadilishi kitu katika mfumo au mwenendo wa chama..Kwa maana nyengine Structure ndiyo kiini cha taasisi kiongozi anaweza kuondoka na muundo ukabakia.
Tatu ni Itikadi naweza kusema ni msimano/imani ya chama dhidi ya mazingira yanayozunguka,Chama kinachoamini katika ujamaa kina mmbinu zake katika kutatua changamoto n.k.
Swali.
Ikiwa CHADEMA Inaamini katika demokrasia inakuwaje wanakuwa na conservative Leader/Kiongozi asiyebadilika?
Inakuwaje hakiruhusu sera ya ubepari/Free Market ikafanya kazi imebakiwa na kiongozi mmoja tu.
Mutatuhakikishia vipi katiba hamutoikanyaga?Inakuwaje kiongozi akawa mbowe tu?
MWISHO MUNATOFAUTI GANI NA CCM?