FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,882
- 5,087
Kwa hiyo mmeamua kutuondolea wale wanaoongea wakaeleweka mmetuletea Watu wa "Nchi za Ilan na Ilaki" kweli hilo ndilo ninyi mnalofurahia?
Kwamba Mwenye diploma hata kama hana uwezo wa kuongea au kuandika yanayoelekea basi kwenu ndio bora?.
Wapi Dokta Isack,namuamini na kumuelewa Dokta Isack Maro na bila shaka wenye matatizo wangetamani wahojiwe na Dokta Isack kuliko mwingine.Kwa mfano leo nimemsikia Mtangazaji anambagaza tu Mgonjwa kwa maswali yake na kung'ang'ania hoja zisizo ulazima,tunamiss weledi wa Dokta kwenye .aeneo kama hayo.
Chondechonde ithibati isiondoe ladha masikioni.
Basi ondoeni pia wasiojua kuongea,wakae pembeni wajjfue mpaka wafuzu ndio warudi kutangaza.