Hahaha safi siku Moja moja kupata burudani sema uwanja ulikuwa haufai kabisa na Leo naona mvua ni kubwa kuliko janaJana Mimi mwenyewe nimemwombea ruhusa mwanangu nimedanganya anaumwa aende kuangalia hiyo mechi kafika uwanjani hola na shule nimedanganya anaenda hospitali.
HahaaaaaNB:Jana watu wa vibanda umiza na maeneo mengine wamepata hasara maana kwa Sasa mechi za yanga huwapa mapato sana
Wenyewe wanaziita mgodi
Ingawa hata Simba nazo hujaza kidogo lakini huwa mechi zimejaa makasiriko hali ambayo inapelekea tv zao kuwa mashakani kwani mashabiki wa Simba hunyoosha vidole na kutupa mikono Kila mahali
Mimi ni shabiki ila sijafikia kiwango hikoJana Mimi mwenyewe nimemwombea ruhusa mwanangu nimedanganya anaumwa aende kuangalia hiyo mechi kafika uwanjani hola na shule nimedanganya anaenda hospitali.
U better ask first,Mimi ni shabiki ila sijafikia kiwango hiko
Umefanya sawa kwani kutokwenda shuleni siku 1 kutamuathiri vipi?U better ask first,
JKT wameanza kutumia uwanja wa Mbweni hivi Karibuni na mtoto wangu anapenda yanga na sijawahi kumpeleka kuangalia mechi yoyote, Kwa kuwa sikai mbali na uwanja wa JKT Mbweni na mtoto wangu anasoma Karibu I decided to do that for my 9 years boy, I hope it's not bad as a parent am fulfilling my kid wishes.
Hapo Sasa! tena sio siku nziima wao wanamasomo ya jioni nilimfata saa 9:30Umefanya sawa kwani kutokwenda shuleni siku 1 kutamuathiri vipi?
Kumbe wewe jirani yangu kabisaU better ask first,