Kwa hizi point naweza kuapply DIT?

Kwa hizi point naweza kuapply DIT?

Kwa hayo matokeo unapata mkuu. Me mwenyewe nimepiga pale arusha tech. Fani ya mechanical engineering. Na mwaka huu naenda kuchukua jiwe.

Fanya application d.i.t, a.t.c na mist am sure utapata chance tena direct entry kwa hayo matokeo yako.

Wewe uliingia kwa kujuana ama kwa rushwa, usimfanye mwenzako aone maisha marahisi wakati ukweli haupo hivyo
 
Ss utautumiaje huo mkopo kama haupew mkonon@snipa
 
Ss utautumiaje huo mkopo kama haupew mkonon@snipa


ungekuwa hupewi mkopo basi ungelipa kwenye milioni hivi!

Manaake mkopo wako wewe unalipiwa ada! Na hostel Na serikali!

Na laki mbili yako utakayo itoa wewe ni kama ya chakula tu!

Lakini sharti uwe umechaguliwa kutoka shuleni o-level (direct entry) lakini sio uende kua apply pale utegemee kupewa mkopo! (indirect entry)
 
Back
Top Bottom