Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

VIVABONTA

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
26
Reaction score
0
Wana jf nina 2.21nimejaza dit kwenye cell4m ntachaguliwa kweli au nianze kupiga tuition kwaajili ya advance
 
Wana jf nina 2.21nimejaza dit kwenye cell4m ntachaguliwa kweli au nianze kupiga tuition kwaajili ya advance
.

.
Mkuu PCM imekaaje nipe matokeo yako!
.
Afu tuongee mana namie ni mhitimu!

 
Kama uliweka chaguo la kwanza lazima wakuchague. Kuhusu kuchaguliwa chuo gn hapo wao ndo wanapanga kulingana na nafasi na ufaulu wako. Kama hukuweka chaguo la kwanza uende wizarani ukaombe muongozo
 
P-b+,c-c,m-c

.
Tegemea ndugu mana itategemeana na uwingi wa walipata one! Ambao walichagua hapo!
.
Ila huwa wanaangalia usishuke zaidi ya C kwenye masomo hayo matatu!
Afu kingine pia wanaangaliaga ukanda uliopo ikitokea bahati mbaya!

BTW
We wa ajabu umepiga B+ p afu C kwenye C daa mana P ilipinda sana ile kwenye theory

au ndo kosa walilo lifanya jamaa mana waliweka 250dm3 baada ya 250cm3 kwenye C plactical basi daaa wana wacha watuache hoi nyie NECTA! Daaaaa au we kingdom fungi unasemaje au hukupiga 2A chemistry
 
Last edited by a moderator:
.
Tegemea ndugu mana itategemeana na uwingi wa walipata one! Ambao
walichagua hapo!
.
Ila huwa wanaangalia usishuke zaidi ya C kwenye masomo hayo matatu!
Afu kingine pia wanaangaliaga ukanda uliopo ikitokea bahati mbaya!

BTW
We wa ajabu umepiga B+ p afu C kwenye C daa mana P ilipinda sana ile
kwenye theory

au ndo kosa walilo lifanya jamaa mana waliweka 250dm3 baada ya 250cm3
kwenye C plactical basi daaa wana wacha watuache hoi nyie NECTA! Daaaaa
au we kingdom fungi unasemaje au hukupiga 2A
chemistry

Mi mwenyewe nahis ilo ilo mana ile kemia sijaridhika nayo kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Kama uliweka chaguo la
kwanza lazima wakuchague. Kuhusu kuchaguliwa chuo gn hapo wao ndo
wanapanga kulingana na nafasi na ufaulu wako. Kama hukuweka chaguo la
kwanza uende wizarani ukaombe muongozo

Kuomba huo muongozo simpaka post zitoke?
 
Kuomba huo muongozo simpaka post zitoke?

watu huwa wanafanya hivyo, sikumbuki kuwa ni wakati wakati wa kabla au baada, ila nafikiri ni vyema ikawa kabla maana baada watu huwa wanakuwa wengi sana maana kuna wale wanaotaka kuhama shule walizopangiwa kabla hawajaripot kwa huwa huwa kunachafuka sana, mara nyingi huwa wanaambiwa waende wakaripot kwanza then ndo waombe uhamisho, so hata ww utaambiwa uende ukaripot kwanza halafu ndo ushughulikie hayo maswala, ni vema ukaenda sasa ili wakakushauri ufanyeje
 
Mkuu nili choose tech colleges vp lakin nimefaulu vizur tu.vipi wanaweza wakanipeleka advance au ndo tech tena?

.
Unajua nini kwamfano kama mm Home ni Mbeya!
Kwenye zile Cell Form kama ningejaza home district ni Mbeya!
.
Ingenipa unafuu zaidi wakuchaguliwa MIST(MUST) kama ningejaza na matokeo yangu kuwa fresh!
.
Lakini wakati mwingine hiyo huwa hawaingalii some times! LAKINI KAMA MUNGU ALIPANGA ALIPANGA TU WE USIWE NA WASIWASI! unajua maisha haya kuna kitu tunaita BAHATI
.
Mi mwenyewe nilijaza DIT na ATC ngoja nisubiri
wasipo nipeleka huko najua ntaenda kukomaa na PCB advance
mana niliweka hv
Pugu = PCB
Minaki = PCB
Rungwe = PCB
Tosa = PCB
Rungwe = CBG

lakin Maths nna A na nilijaza DIT NGOJA TUSUBIRI
 
Mkienda chuo mtachukua Course gan wadau
 
Jawabu kwa wote:

1. Kama umefaulu vizuri na ukapata credit 3 kwenye masomo ya PCM na endapo ulijaza tech kama chaguo la kwanza utapelekwa tech.

2. Kama ulijaza advanced level kama chaguo la kwanza utapelekwa advanced level.

Ushauri kwa mleta mada:

Anza kujiandaa kwa kuzingatia hizo condition mbili hapo juu nilizoeleza.
 
Back
Top Bottom