Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

Yap mkuu hata mimi second choice ni advanced then combination PCM au PCB nbut iv kuna tofaut gani kati ya atakechaguliwa advance na tech??

.
Atakaechaguliwa advance ataanza degree baada ya miaka miwili,
na atakaechaguliwa Tech ataanza Degree baada ya Miaka mitatu!
.
Na huyu wa Tech baada ya hiyo miaka mitatu anaweza kuanza kazi akiwa na hiyohiyo diploma
.
Lakini anaesoma Tech anakuwa na uzoefu mkubwa sana wa kazi kuliko yule wa degree aliyepitia advance!
.
Hii inatokana na wa Tech kujikita zaidi kwenye Plactical kuliko yule wa degree anaesomea madaftari!
.
Na pia anaeenda Advance huwaga hana uhakika mana anaweza akafeli au akafaulu!
.
Afu kuna kingine hiki!
.
Kwa mfano VIVABONTA anaetaka akasome Computer eng!
Kama atachaguliwa advance PCM basi inabidi akapige Msuli wa kufa mtu ili akasome UDSM computer eng
.
Lakini inampa advantage kama atachaguliwa tech!
.
Kingine tena
.
Kuna wanao enda Advance wanafeli afu wanaludi na vyeti vyao kuomba waingie indirect entry kwamfano pale DIT!
.
Basi huyu aliyefeli advance nakuludi Tech itambidi alipe ada kubwa sana tofauti na atakaeenda Tech akitokea Form four mana yeye hulipa laki mbili! Na nyingine yote hulipiwa na serikali kama zawadi! Yaani hupewa mkopo na serikali ambao hataulipia akimaliza masomo yake!
 
Last edited by a moderator:
Haina dili mkuu hyo nshauliza wengi wa wanaofanya kazi ttcl wengi wao wa metoka dit.Kitu cha electronics na telecom engneering halafu kwenye specialization specialize kwenye data mbona kazi nje nje tu kibao na pia upande wa electical kazi nje nje tu ila computer engneering dah! haiko puwa vile yani.:nod::nod:
 
Thanks nimekuelewa,kwa mtazamo kati ya PCM na PCB ipi msuli wake ni hatari??

.
Kaka kwanza nizungumzie PCB tu!
Huyu atasoma
.
Physics
Chemistry
Biology
Basic applied maths
General study
.
Na biology ni mziki mwingine kaka lakin inaku sharp ukaweze kumudu vizuri huko mbele! Na masomo yenyewe kama unavyo yaona hayo!
Lakini kuya balance yote nayo ni kazi pia! Yaan PCB uya balance yote nayo pia yataka moyo!
Kuna jamaa flani hivi alikuwa Tosamaganga yeye alikomaa na CHEMISTRy tu
.
 
sor wajamen hv kwa mtu mwnye 4 pnint 26 mwaka jana akaomba dit ifanye acces course anaweza kupata
 
sor wajamen hv kwa mtu mwnye 4 pnint 26 mwaka jana akaomba dit ifanye acces course anaweza kupata

.
Na ndiyo sababu kubwa ya wao kufanya hivyo!
.
Nenda mkuu ila ukawe unawapita wasichana wote kwenye faculty yako!
.
Usipofanya hivyo itakupa tabu!
 
bro sor sijakupata yan kwny hyo pre entry nkawapte waschana wote

.
Kaka sina maana ya ajabu wala iliyojificha hapo!
Unajua wasichana hupewa kipaumbele sana! Na inaweza ikatokea wewe ulikuwa wakujivuta vuta class ukaachwa wakachukuliwa wasichana mliokuwa mnajibuluza pamoja!
.
Afu na wao hupewa pia mkopo na selikali kama walioingia kwa direct entry! Yaani wao huwa wanawajali sana so kama upo makini we ka fight japokuwa sio lazima sana kuwapita wao!
.
Ma engeneer wakike ni wachache sana ndiyo logic yenyewe!
 
Jawabu kwa wote:

1. Kama umefaulu vizuri na ukapata credit 3 kwenye masomo ya PCM na endapo ulijaza tech kama chaguo la kwanza utapelekwa tech.

2. Kama ulijaza advanced level kama chaguo la kwanza utapelekwa advanced level.

Ushauri kwa mleta mada:

Anza kujiandaa kwa kuzingatia hizo condition mbili hapo juu nilizoeleza.

samahan bro!Me nami nimemalza mwaka jana nina 24 ila nina B+ math, C chemis,na D ya phys.Je wanaweza kunichagua tech mana me nilianza na tech ya hapo mbeya.Msaada bro.
 
n PROBABILITY kjana,kuchagua tech-college kama chaguo la kwanza haimaanishi ndio watakupeleka(unaweza ukapelekwa advance au hata huko tech-college)
 
Ndo hvyo jaman nami nina B+ya math,C ya chem, na D ya phys je wanaweza nichagua ?

.
Hawawezi mkuu!
.
Physics = A, B+, B, C
mathematics = A, B+, B, C
Chemistry = A, B+, B, C
.
Ndivyo ilivyo mkuu na kwenda kule ni probability pia!
 
.
Hawawezi mkuu!
.
Physics = A, B+, B, C
mathematics = A, B+, B, C
Chemistry = A, B+, B, C
.
Ndivyo ilivyo mkuu na kwenda kule ni probability pia!

Mkuu umesaidia kumuelewesha muulizaji uliyemnukuu ila kwa kuongezea ufafanuzikidogo tu ni kwamba ili uchaguliwe kuendelea na hatua inayofuata (advance/tech) inampasa awe na credit 3 ktk masomo yake ya combination husika. Hii ina maana kua credit inaanzia C na kuendelea mpaka A kama ulivyofafanua.

cc: @mtaule mgunda
 
Back
Top Bottom