Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Chadema wamekuwa watu wasiojitambua wanataka nini
Baada ya kukidumbukiza shimoni kwanguvu mpaka Sasa Bado hamuamini mmekimaliza mpaka mnashauri kisiingie shimoni kweli chadema sikio la kufa
 
Hapana Mkuu tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji mtapigwa asubuhi tu
Mbona nyie Rais Magufuli mmemuacha apite bila kupingwa? Kachukue fomu uchuwane naye kama hujapotezwa. Mambo ya CHADEMA waachie wanaCHADEMA wenyewe. Kwani CHADEMA ikizama wewe mwanaCCM kinakuuma nini?
 
Chadema wameamua kuwa wacheza comedy
They have no idea na dizain km tindu lissu kisaikolojia hayupo sawa
 
Matatizo ya shule za kata sasa tunayaona!! Lissu rekebisha hii kitu..CCM ajenda yao ni kupumbaza watu wasijue kinachoendelea nchini!! Ni technic mbaya mno!!

Kheri yako wewe uliesoma shule za maana.

Hakuna tena kutumia rasilimali ya taifa kama rehani kwa wanasiasa wa aina ya Tuindu Lisu.

Hiyo fedha ya wazungu anayotumia Tundu Lisu atairudisha vipi endapo anashindwa kwenye uchaguzi wa uraisi?
 
Chadema wanakufa Kama mbwa anae kufa wakat wa mapigano yeye Kama amengata kitu hakiachii mpaka anakata roho NDIO chadema na makamanda wa ufipa wao wamengata jamiforums na Twitter ndio Kuna Wana chama wao
 
Mnataka huyo anaesema barakoa kama titi lililokatwa
 
Baba wa taifa sio malaika ni binadamu
 
Umepaniki "Bogus"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafe tu ni wajinga
Chadema wanakufa Kama mbwa anae kufa wakat wa mapigano yeye Kama amengata kitu hakiachii mpaka anakata roho NDIO chadema na makamanda wa ufipa wao wamengata jamiforums na Twitter ndio Kuna Wana chama wao
 
Huna lolote huo ushauli peleka chamwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…