Kipindi chao wapambe wao pia waliongea hivyo hivyo.Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa hovyo kama hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi chao wapambe wao pia waliongea hivyo hivyo.Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa hovyo kama hao
Kipindi chao wapambe wao pia waliongea hivyo hivyo.
Na ndio maana hata ccm yenyewe waliomo hawamo kwa mioyo yao yote. Kwasababu chama kinatawaliwa na wenye chama.
Najiuliza sana nguvu inayotumika kila tv kutangaza kazi za rais na miradi nini kipo behind the screen?
Ninachojua ni hiki, ukiwa unaeleza sana kila siku jambo lilelile watu watataka kusikia kitu kingine na hii itakushangaza maana binadamu hajawahi kamwe kupenda kutu kimoja.
Fikiria kila siku yanayotangazwa ni
Umeme unaowekwa
Barabara zinazojengwa
Reli
Hospital
Lakini hayo ni matokeo ya kile tunachochangia sio hisani.
Tunachotaka ni
Utawala wa sheria( mihimili kuwa huru)
Freedom of expression
Utawala wenye uhuru wa kweli wananchi
Nyie ndio akina Al Sahaf wa Tanzania. Mko sawa na mafunza, choo ikibomolewa na zenyewe zinakufa.Nyie wafuasi wa lissu mnataka mmuue Mbowe ili mrithi chama
Yani mtu anamfanya Nyerere Mungu Mtu, halafu hiyo nayo eti sababu!
Kuna wakati najiuliza ulimaliza shule kweli au ndio unaanza kindergarten maana si kwa uandishi huu na mawazo hayaCHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
----
Kile kitendo pekee cha kumkashifu Nyerere ni laana toshaLisu alishakuwa blacklisted kama seif