Kwa hoja: Ndoa nyingi za madhabahuni ni feki

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF
Ndoa nyingi za huko mahekaluni ni feki.
Sababu hizi
1. Kama hujaoa bikra na mwanamke hajatubia hio dhambi
2. Alievunjwa bikra na asiye mumewe hafai kuolewa.
3. Kama mshazini na kutoana bikra kabla ya ndoa.
4. Mahudhurio ya Ma ex wenu wakati wa kufunga ndoa na viapo vyake.
5. Kupokea michango ya ma ex ya kufanikisha ndoa yenu.
6. Uwepo wa mashosti na marafiki walioshuhudia uasherati wenu na mkafunga ndoa bila kusikika mkitubia zinaa zenu zote.
7. Kuoa mwanamke ambae alishatoa mimba hata kama hujui.
8. Kuolewa na mwanaume ambae ametelekeza watoto, mimba, na kuwatoa mimba wapenzi zake.
9. Kuoa mwanamke ambae amedhulumu nafsi ya mwanaume kwa ahadi za uongo.
10. Kuoa anaegeuka au kugeuza sio (wala gololi).
11. Kuolewa na mpiga deki au Kuoa alokwisha kulamba mapipi uji.
12. Kuoa au kuolewa na kuwadi wa zinaa.
13. Kuoa alietoka na mwana kwaya au wanakwaya wenzake.
14. Kuoa au kuolewa na aliyetoka kimapenzi na ndugu yake au ndugu zake.
15. Kuoa au kuolewa na mpiga chabo.
16. Ndoa yoyote ikifungwa mbele ya ushuhuda wa mchepuko au michepuka yao ni feki.

Ndoa yoyote bila toba au utakaso walau wa zaburi ya 51 ni sifuri.

Mapenzi na toba ndio habari sasa nyie endeleeni kujifariji na ndoa feki.

Tubishane kwa hoja tupambane kwa points.

Wadiz
 
Kwa wasiojua Zaburi 51 inasemaje:

Zaburi 51

1 Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.

2 Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.

3 Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.

4 Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.

5 Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani.

6 Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanijulisha hekima kwa siri.

7 Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, Unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji

8 Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.

9 Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; Uzifute hatia zangu zote.

10 Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu

11 Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.

12 Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya wepesi.

13 Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.

14 Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, Uniponye na damu za watu, Na ulimi wangu utaiimba haki yako.

15 Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.

16 Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.

17 Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.

18 Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, Uzijenge kuta za Yerusalemu.

19 Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki, Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng'ombe Juu ya madhabahu yako.
 
Hakika hio ndio zaburi ya utakaso na uokovu na maungamo ya dhambi na kumrejelea Mungu. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom