Kwa hot girls wa Jamiiforums tu

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Hivi hot girls naombeni mnisaidie zawadi gani mnapenda mpewe na wapenzi wenu ambazo zinawavutia nahitaji nimpe mpenzi wangu, naomba msaada tafadhali.
 
Mi sio hot girl ila nakushauri uweke ceiling budget...kabla hayajakukuta as they all love gold and diamonds!!!!!!!!
 
mi kiatu cha ukweee...perfume ya ukweee...pochi ...simu na fweeeedha....
 
Toa dhahabu, magari, vitu vyote vya thamani lakini usipompiga pu.bu sawa sawa na kumpa aina zote za orgasm ni kazi bure.
 
mi kiatu cha ukweee...perfume ya ukweee...pochi ...simu na fweeeedha....

Yaani tuvitu tuduchu kweli ! Kumbe gharamazo ndogo kihivi ? Sijui nikupigie pande kwa bwaa'mdogo wangu!
 
ningekuwa mimi saa ya mkono inanitosha.
 
Chochote ambacho wew unafikiri chafaa kuwa zawadi...kwani kabla ya kuleta mada ulikua umewaza gft gani?
 
mi kiatu cha ukweee...perfume ya ukweee...pochi ...simu na fweeeedha....
Vingine vyote ni sahihi kuitwa zawadi ila kwenye red na underline hapo kwa nini usitafute zako au unamaansha (Clitoral Orgasm,Vaginal Orgasm,Blended Orgasm and Multiple Orgasms)?
 
kwani wewe uliwaza nini cha kumzawadia huyo mwandani wako, utakachoona chafaa mzawadie tu kwani ndo uwezo wako bestito
 
Chagua kilicho ndani ya uwezo wako, hasa baada ya kumsoma anachopendelea, watu tunatofautiana, mie naweza sema napenda kitu flani yeye asikipende!
 
Umepata jibu? Muhimu ni ur budget na anavyovipenda kwa jinsi unavyomfahamu cha kumpagaisha au kuita ni gift hasa. Wanavyovipenda hot girls wa JF yeye anaweza asiwe na mzuka navyo kbs. Zaid ni hizo Romantic vacation nadhani hata tusio hot tunapenda. Raha sana u enjoy vacation and ur r'ship kwa pa1 tofauti na kumpa zawadi peke yake. Ama kampie huko huko tena km hujamuoa muengage kbs that will be a nice gift.
Nyingine km walizotaja HoE perfume ya ukwel ht mie napenda. Zaidi mpende zaid na zaid tena kwa DHATI.:wave:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…