Kwa hotuba hii ya Mama kufunga bunge la 12 mitano tena ni haki yake

Kwa hotuba hii ya Mama kufunga bunge la 12 mitano tena ni haki yake

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nilikuwa sijui kumbe Kafanya mengi sana kuliko matarajio.. kumnyima 5 tena ni hasara kubwa sana. Kayasema mpaka nikasinzia. Nadhani hata chadema wamepata ganzi na gagaziko.

Tutabishana sana na madalali humuhumu mitandaoni
 
Nina uhakika wazazi wako ni wana life gumu sana kijijini kwa sababu ya sera za kindezi za CCM, hizi ID fake zinaficha mengi sana.

Hakuna jambo baya kama kuja Duniani kusifia ujinga tuna baadse ufe.
 
😎😎😎😎😎😎 Mpaka nikasinzia .
 
Nina uhakika wazazi wako ni wana life gumu sana kijijini kwa sababu ya sera za kindezi za CCM, hizi ID fake zinaficha mengi sana.

Hakuna jambo baya kama kuja Duniani kusifia ujinga tuna baadse ufe.
Bila kufanya benchmarking huwezi kuona kilichofanyika. Wewe unajilinganisha na nchi gani, Korea ? Wakati wenzetu Kenya wanakimbizana na kuvunjana miguu sisi tunaorodhesha mema yetu.
Ww haki yako nni kuwa chawa umezaliwa na wzazi wako uwe chawa
Kila mtu ana jicho lake la kuona na sikio la kusikia. Kwenye demokrasia ni sawa kuona tofauti kitu kilekile. Bishana kwa takwimu
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
Ww haki yako nni kuwa chawa umezaliwa na wzazi wako uwe chawa
Kaongea kwa takwimu na wewe bisha kwa takwimu, au veepe!!! Propaganda hazifanyi kazi kwa watu wenye nia njema na waliotembea Africa nzima na dunia. Dunia hii Ina viwango vya Marekanani, Ulaya Magharibi, Ulaya mashariki, Asia na viwango vya Africa. Kama mkimdanganya kijana mtanzania kuwa wewe unaweza kuifanya Tanzania iwe kwenye viwango vya Marekani, Ulaya Magharibi, Ulaya mashariki au Asia utakuwa unamfanya mpbavu na wewe utakuwa tunafahamu kuwa unamwambia upumbasa. Kuja jamaa mmoja ambae wakati anatafuta ubunge wa Jimbo aliwaambia upumbavu vijana kuwa atawapeleka Marekani wakajifunze mambo punde tu akiwa mbunge lakini hadi Leo bunge linavunjwa hakuna hata mmoja aliye na passport.

Hizi ni sawa na propaganda wanazotumia watu kuwahadithia watu habari za akina wakulimtho, Timoteo, yonana, Elia nk kisha kukusanya hela (sadaka) kutoka kwao. Wanawazunguusha hapohapo kwa akina Luka, wafalisayo, abubakar Sadiq, saidna Omari wagalatia Kila siku kama vile Afrika hakukua na watu mahiri sana na waliofanya mambo makubwa. Eti wao wanawafahamu sana kama vile walikuwapo.
 
Mradi wake mkubwa ni chawa kwa wingii na mabango...aache kudandia miradi ya Jiwe!.
Na alivyomjinga eti anasema deni la taifa likitajwa kwa pesa ya kitanzania (tshs) ndo linaonekana kubwa
Duh huyu kiazi ni aibu kuwa hata waziri!
 
Hujui kama miradi hii aliyokuwa ameianzisha Mzee Magufuli ingemshinda kujimaliza kama angekuwa hai, au angekumbana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa watumishi wafanyabiashara, wanajeshi na raia ambao huduma zao na malipo yao yamesitishwa kwaajili ya kujenga miradi hii. Kumbuka kuwa Magufuli hakuongeza mishahara kwa watumishi kwa miaka 7 kitu ambacho kimeathiri watu wengi sana ambao wamestaafu wakiwa na mishahara midogo. Alifikia mahali ananyang"Anya watu hela zao kwenye benki na kwenye biashara ili apate fedha z miradi hii. Mifuko ya hifadhi ya jamii aliifilisi kwa kuchota fedha za kujengea miradi hii. Huna akili unajisemea tu wewe.

Mama amekomaa na miradi hii kaimaliza bila mateso mengi sana kwa raia. Magufuli alipiga marufuku vyama vya upinzani ili visimcheeshe kwenye ujenzi wa miradi hii lakini mama aliwaruhusu huku akiendelea na ujenzi wa taifa. Hakuna kama huyu Mama.
 
Back
Top Bottom