Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?
Aanze kwa kufuta NGOs zote, afute CHADEMA, afute muda huu na Kanisa Katoliki TUONE.Ni schematics tu ili kutuliza kelele,kwa sasa ni mwendo wa mateka tu mikono juu,hakuna uhuru wa habari, demokrasia wala ungese gani sijui
K
Walikurupuka, hawamaanishi, Wazee kama Jaji Chande wanaenda kufanya kazi ya maigizoSasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?
Alikuwa bado hajapata uhakika Sasa ameupata, na anataka Tume idhibitishe uhakika huu. Mimi ndivyo nimeelewa.Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?
Kina Chande ni wazee wa njaa tu.Walikurupuka, hawamaanishi, Wazee kama Jaji Chande wanaenda kufanya kazi ya maigizo
Mkuu Samia ni mental case na mfa maji, shurti kurusha miguuMambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.
Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?
Wewe nakwambia mwaka huu maparoko watakunyoosha. 🤠🤠Ni schematics tu ili kutuliza kelele,kwa sasa ni mwendo wa mateka tu mikono juu,hakuna uhuru wa habari, demokrasia
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.
Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?