Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

Rangooo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
243
Reaction score
408
Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
 
Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia mda gan kufika.
masaa 24
 
Back
Top Bottom